"Viuno vyenu vitieni grisi" - Ommy Dimpoz - EDUSPORTSTZ

Latest

"Viuno vyenu vitieni grisi" - Ommy Dimpoz

 


Mr PKP @ommydimpoz 'is back' baada ya ukimya wa miezi 11, tegemea kazi yake mpya akishirikiana na fundi wa muziki Africa Fally Ipupa kutoka nchini Congo DR baada ya kushea picha yao wakiwa pamoja studio.

Katika picha hiyo Ommy Dimpoz anasema "Haya viuno vyenu vitieni grisi mapema, Dimpoz X Fally".


Ommy Dimpoz anakuwa msanii wa pili kufanya kazi na Fally Ipupa baada ya Diamond alivyofanya hivyo mwaka 2019.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz