Twiga Stars Yabeba Ubingwa Michuano ya Cosafa - EDUSPORTSTZ

Latest

Twiga Stars Yabeba Ubingwa Michuano ya CosafaTimu ya Taifa ya #Tanzania ya Wanawake, #TwigaStars imeifunga timu ya #Malawi goli 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa katika dimba la Nelson Mandela huko Afrika Kusini

Goli la Twiga Stars limefungwa na Enekia (64’)

Aidha, Nahodha wa Twiga Stars, Amina Billal ametangazwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz