Official Nai Amuonea Huruma Ole Sabaya "Bata la Arusha Nitalimisi Sana" - EDUSPORTSTZ

Latest

Official Nai Amuonea Huruma Ole Sabaya "Bata la Arusha Nitalimisi Sana"


Wakati baadhi ya watu wakiendelea kutoa Maoni baada ya hukumu ya miaka 30 jela kwa aliyekua mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, mrembo ambae ni video vixen na mjasiriamali @officiall_nai ameibuka na kumuonea huruma mkuu huyo wa zamani wa wilaya anaekwenda kutumikia miaka 30 jela.

@officiall_nai ametumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha masikitiki yake hayo, kwa kuShare picha ya Sabaya na kuandika ujumbe unaotafsrika kwa kiswahili "hakuna mkamifu, Mungu akusimamie" huku akiweka wazi kuwa atakumbuka bata alilokuwa akipata pindi anapokwenda mkoani Arusha ,kabla ya kuifuta post hiyo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz