Ibraah wa Konde Gang aeleza sababu za kurudi kutoka Marekani na kumuacha Harmonize kule - EDUSPORTSTZ

Latest

Ibraah wa Konde Gang aeleza sababu za kurudi kutoka Marekani na kumuacha Harmonize kuleAkiongea na wana habari baada ya kufika Uwanja wa Ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere msanii huyo kutoka Konde Gang ameeleza sababu za kurudi Tanzania.

Ibraah ameweka wazi kuwa Marekani hakupelekwa na Harmonize bali Promota alikuja kumchukua kwa ajili ya kwenda kufanya show zake mbili na baada ya kumaliza aliamua kurudi kwa ajili ya kuendelea na mambo mengine.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz