Yeye alihisi hajanikosea ila mimi niliona amenikosea, alinitumia meseji sikuijibu kwa sababu hakuwa anaonyesha kama amenikosea bali alisema sina makosa, sikuwa na kitu cha kujibu”
Sina uhakika kama namba yake ninayo nahisi nimeifuta na nimemu unfollow– @elizabethmichaelofficial kuhusu ugomvi wake na @wemasepetu
Post a Comment