Muigizaji Maarufu Kutoka Nchini Marekani Alec Baldwin Amemuua Mtu Bila kukusudia Akiwa Location - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Muigizaji Maarufu Kutoka Nchini Marekani Alec Baldwin Amemuua Mtu Bila kukusudia Akiwa Location


Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Alec Baldwin amemuua bila kukusudia Halyna Hutchins, ambae ni muongozaji wa picha mjongeo (Director Of Photography) na kumjeruhi Joel Sauza ambae ni Director wa Filamu ya “RUST” kwa kutumia bunduki iliyoaminika kuwa ni bandia.

Tukio hili limetokea New Mexico, Marekani walipokuwa kwenye eneo wakitengeneza (on set) filamu hiyo. Hadi sasa Polisi wanaendelea na Uchunguzi na hamna aliyekamatwa.

Alec Baldwin ameigiza kwenye filamu nyingi maarufu kama Concussion, The hunt for October, It’s Complicated.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz