Sakata la Wanamuziki wa Mabantu Kujichubua..Wafunguka Baada ya Stan Bakora Kuwalipua - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Sakata la Wanamuziki wa Mabantu Kujichubua..Wafunguka Baada ya Stan Bakora KuwalipuaMuuh tokea Mabantu amejibu kauli ya mchekeshaji Stan Bakora aliyedai waundaji wa kundi hilo (Muuh & Twah) pamoja na msanii Dullah Makabila ni watu wanaotumia sana mikorogo lakini mikorogo haiwataki.

Kwenye hali ya kukasirika,amedai alichokisema Stan ni ushamba sababu hakuna kinachomgharimu hadi aanze kuwaongelea kuhusu suala la kujichubua. Muh anadai Kwa upande wao maisha kidogo yanabadilika hivyo wanaweza kumudu gharama za mafuta ya kujipaka huku akimtaka Stan kuacha tabia za kuingilia maisha ya watu.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz