Faiza Ally Atoa Mpya "Zamaradi HAJANISHINDA Fedha Mimi Mpambanaji" - EDUSPORTSTZ

Latest

Faiza Ally Atoa Mpya "Zamaradi HAJANISHINDA Fedha Mimi Mpambanaji"Mwanadada FAIZA ALLY Amefunguka Mambo Mengi Kuhusu Issue Inayoendelea Kati yake na Zamaradi Pia Amesema Hapendi Kabisa Kulinganishwa na Zamaradi kwenye Sekta ya Kiuchumi Zaidi.

"Mimi na #zamaradimketema nilishamalizana nae na mnaosema mimi nina muonea wivu mnakosea yeye anawanaume wanamlea mimi ni single mother najihudumia kila kitu pamoja na watoto wangu"- ( iamfaizaally)
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz