Grammy Watambua Mchango wa Sauti Sol - EDUSPORTSTZ

Latest

Grammy Watambua Mchango wa Sauti Sol
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, kundi maarufu la muziki nchini Kenya, @sautisol 🇰🇪 wamethibitisha kupokea Cheti cha Utambuzi (Certificate of Recognition) kutoka kwa waandaaji wa tuzo maarufu Duniani za #Grammy kwa kuwa sehemu ya ushiriki kwenye kuandaa Albamu ya @burnaboygram #twiceastall

Albamu ya #twiceastall iliandika historia kwenye muziki wa Burna na Afrika kiujumla baada ya kufanikiwa kushinda #bestglobalmusicalbum mapema mwaka huu.

Sauti Sol wanatajwa kuwa walishiriki katika kutengeneza ngoma iitwayo #timeflies ya #BurnaBoy ambayo ipo kwenye albamu ya #twiceastall (Burna Boy Ft. Sauti Sol – Time Flies.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz