Bondia Mike Tyson Akiri Kupata Chanjo ya Corona Bila Idhini yake Mwenyewe "Nina Woga Kidogo na Hilo" - EDUSPORTSTZ

Latest

Bondia Mike Tyson Akiri Kupata Chanjo ya Corona Bila Idhini yake Mwenyewe "Nina Woga Kidogo na Hilo"


Gwiji wa masumbwi Dunia, Mike Tyson amekiri kuwa amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha.

"I didn't do it willingly," Tyson alisema bondia huyo mwenye miaka 55 akikaririwa na tovuti ya Washington Examiner

“Nina woga kidogo na hilo. Nilijikuta nalazimika kusalimu amri kwa sababu nina safario kimataifa. Na kama sisafiri, hatuli.”- tovuti hiyo inamkariri Tysion alipoongea na gazeti la USA Today Sports katika mahojiano yaliyofanyika katika ofisi za kampuni yake inayojihusisha na biashara ya bidhaa zitokanazo na bangi.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz