Vita vya Maneno vya Wapiga Picha wa Mondi na Harmonize Vyaendelea "Marekani Sio Tandahimba" - EDUSPORTSTZ

Latest

Vita vya Maneno vya Wapiga Picha wa Mondi na Harmonize Vyaendelea "Marekani Sio Tandahimba"


On trending now, ni vita ya maneno yanayo tafsiriwa kuwa vijembe kati ya ma photographers wawili wa wasanii wa tanzania, @lukambaofficial (diamond) na @jabulant_ (harmonize) ambao wote kwa pamoja wapo nchini marekani kwa shughuli zao za kimuziki.

Sekeseke hilo lilianza siku kadhaa nyuma baada ya photographer wa harmonize #jabulant kudai kwamba wasanii na photographer wote wakubwa wapo nchini marekani , ambapo alichapisha kupita insta story yake.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz