Aunty Ezekiel "Nina Miaka 28 Alafu Mume Wangu Kusah Ana Miaka 29 Najua Hamuwezi Amini" - EDUSPORTSTZ

Latest

Aunty Ezekiel "Nina Miaka 28 Alafu Mume Wangu Kusah Ana Miaka 29 Najua Hamuwezi Amini"



Mwigizaji maarufu hapa Tanzania @auntyezekiel katika mahojiano na BonaTv usiku wa kuamkia leo amefunguka kuhusiana na umri wake yeye pamoja na mume wake @_kusah_ .Katika mahojiano amefunguka haya:•

"Najua Watu Hawato Amini Ila Ukweli Ndio Huu Mimi Nina Miaka 28 Na Mume Wangu Kusah Anamiaka Nadhani 29 Wale Wanaosema Nimemzidi Umri Wakae Kimya Tu Maana Ukweli Ndio Huo"-Ameongea Aunt Ezekiel

NINI MAONI YAKO





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz