Wimbo wa Wizikid wa Essence Umefanikiwa Kufikisha Kiwango cha Mauzo ya GOLD - EDUSPORTSTZ

Latest

Wimbo wa Wizikid wa Essence Umefanikiwa Kufikisha Kiwango cha Mauzo ya GOLD



Star Wa Muziki Kutokea Nchini Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ @wizkidayo Anazidi Kuandika historia kubwa kwenye muziki wake, Kwani wimbo wa #Essence aliomshirikisha @temsbaby , umefanikiwa kufikisha kiwango cha mauzo ya GOLD

Ngoma Hiyo Imefikisha Mauzo Hayo Kwa Kuuzika nakala 500,000 kwa nchini Marekani πŸ‡ΊπŸ‡²

Hivyo #Wizkid ametunukiwa Certificate na RIAA Kwa Wimbo Wake huo uliotoka Oktoba 29, 202





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz