Manara "Nifungwe Gerezani Kwa Kuwadanganya Ukubwa wa Simba Ambao Haupo" - EDUSPORTSTZ

Latest

Manara "Nifungwe Gerezani Kwa Kuwadanganya Ukubwa wa Simba Ambao Haupo"



"Moja ya kazi kubwa niliyoifanya labda ni kuonesha ukubwa feki hiyo dhambi niliitendea vibaya sana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nipo tayari kuhukumiwa hata gerezani kwa kufanya ulaghai wa kufix ukubwa ambao haupo".- @hajismanara


Haji ameongeza kuwa Yanga ndio klabu yenye mataji mengi zaidi vinginevyo ni uongo ambao yeye mwenyewe hapo nyuma alishiriki kuupika.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz