Wahuni Wafukua Kaburi la Marehemu Pop Smoke Kutaka Kuiba Jeneza - EDUSPORTSTZ

Latest

Wahuni Wafukua Kaburi la Marehemu Pop Smoke Kutaka Kuiba Jeneza


Kaburi la Marehemu Pop Smoke Imeripotiwa Kuwa Limevunjwa na Watu Wasiojulikana Wakijaribu Kuiba Jeneza. Tmz Imethibitisha Hilo Baada Ya Ku-share Picha Zilizoonesha Namna Lilivyovunjwa Huko Brooklyn New York

Pop Smoke Aliuawa Baada Ya Kuvamiwa nyumbani kwake Hollywood Hills na vibaka wawili waliokuwa wamevalia Mask usoni, kisha kumshambulia kwa risasi mfululizo.

Alifariki dunia Februari 19, 2020 baada ya kufikishwa katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center mjini West Hollywood

Kwa Habari Zaidi, Usiache Kutembelea Youtube Channel Yetu Ya Swahili Media





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz