Maswali Tata Kuhusu Yanga Kumpa Kocha Wao Mechi Mbili la Sivyo Anatimuliwa - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Maswali Tata Kuhusu Yanga Kumpa Kocha Wao Mechi Mbili la Sivyo Anatimuliwa
Yanga imempa mechi mbili Kocha Wake mkuu @nasreddine__nabi Ili kujua Hatima yake ndani ya klabu hiyo mechi izo ni Mechi ya Rivers Huko Nigeria Caf Cl na Simba Mechi ya Ngao Ya jamii Swali Kwenu:

1.Hivi Kwa Jinsi ulivo iona timu ya Yanga kwenye michezo yake miwili Iliyopita ya Zesco na Rivers Tatizo Liko wapi Kwa kocha ,Maandalizi au Wachezaji?

2.Maandalizi Walio yafanya Yanga Msimu huu na Aina ya wachezaji walio sajili walikuwa ni sahihi na hitaji la mwalim ili kuziba mapengo ya Nafasi zilizo achwa na Wachezaji walio ondoka Kutokana na Alichokiona msimu iliopita?

3.Yanga waliacha Wachezaji Wake Wengi muhmu wakiwemo makipa Wote wawili Na kusajili zaidi ya wachezaji 10 wapya Je unadhani muda Uliokuepo ulitosha Kwa kocha kujenga timu na kupata Muunganiko bora wakwenda kucheza CAF CL na Kutwaa Ubingwa wa Ligi baada ya Kipindi kirefu?

4.Unadhani yanga kama Wakimfukuza Kocha Wao Mkuu Ndio itakuwa Sululisho Kwako na kupata matokeo Mazuri?

5.Hivi Unadhani Yanga inakwama Wapi Ukiangalia Wamefanya Usajili mzuri kwa mujibu wao wana kocha Wa Viwango, Waalimu wazuri Wa Mazoezi na Viongozi Wazuri Shida iko wapi Tukiachana na Kocha?Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz