Umoja wa Afrika Umelaani Mapinduzi Nchini Guinea na kulitaka jeshi Kumuachilia Rais Alpha Conde - EDUSPORTSTZ

Latest

Umoja wa Afrika Umelaani Mapinduzi Nchini Guinea na kulitaka jeshi Kumuachilia Rais Alpha Conde

Umoja wa Afrika umelaani mapinduzi nchini Guinea na kulitaka jeshi kumuachilia Rais Alpha Conde mara moja katika taarifa Rais wa AU, Felix Tshisekedi na Rais wa tume ya AU Moussa Faki wameitisha mkutano wa dharura wa taasisi za umoja huo kuhusu usalama na amani ili kutathmini hali nchini Guinea na kuchukua hatua zifaazoHapo jana katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutteres ametuma ujumbe kupitia mtandao wa twitter akijibu kinachotokea Guinea. Amesema kwamba anafuatilia hali hiyo kwa karibu.

Aliongeza kuwa alilaani kuchukuliwa kwa Serikali kwa nguvu ya bunduki na akataka kuachiliwa mara moja kwa Rais Alpha Conde.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz