elru87tYGBGEm Mkurugenzi wa Halmashauri ya Malinyi mkoani Morogoro, Joanfaith Katalaia amepata ajali - EDUSPORTSTZ

Latest

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Malinyi mkoani Morogoro, Joanfaith Katalaia amepata ajali


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Malinyi mkoani Morogoro, Joanfaith Katalaia amepata ajali maeneo ya Mtimbira wilayani humo na kwamba alitibiwa kituo cha afya Mtimbira na sasa anaendelea kupatiwa matibabu hospitali ya Mtakatifu Francisco Mjini  Ifakara.


Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo hilo, Antipas Mgungusi amesema alikuwa akitokea Morogoro Mjini kwenye majukumu yake ya kazi akirejea kwenye eneo lake la kazi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz