Taarifa za kusikitisha na kuhuzunisha zilizotufikia zinasema Mwandishi wa habari wa Azam Media mkoa wa Kagera Nicolaus Ngaiza amefariki dunia usiku huu Septemba 5,2021 baada ya kupata ajali wilayani Muleba akitoka kutekeleza majukumu yake wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
No comments:
Post a Comment