Rais Zuma Amaliza Kifungo Chake Jela - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Rais Zuma Amaliza Kifungo Chake Jela
RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ambaye alihukumiwa kifungo cha miezi 15 jela baada ya kukaidi agizo la Mahakama kuhusu kesi ya rushwa dhidi yake, ameruhusiwa kumaliza kifungo chake akiwa nyumbani kutokana na kuumwa kwake.

 

Idara ya Magereza imetangaza msamaha huo wa kiafya miezi miwili tu tangu Zuma (79) aanze kutumikia kifungo hicho ambapo amelazwa katika hospitali moja nje ya Mahakama hiyo tangu Agosti 6 kwa maradhi ambayo hayajafahamika.

 

Idara hiyo ilisema rais huyo wa zamani anayetumikia kifungo jela alifanyiwa upasuaji mwezi uliopita na kwamba hawawezi kufichua kile anachosumbuliwa nacho lakini anaweza tu kuthibitisha kuwa walipokea ripoti zaidi ya moja ya matibabu.

 

Agosti 14, Zuma alifanyiwa upasuaji ambao hadi sasa hijaelezwa ulikua wa nini ila Idara ya Magereza imesema kwamba uamuzi huu mpya ulitokana na ripoti ya kiafya waliyopata kuhusu Zuma, hata hivyo wamesema atahitajika kufuata masharti atakayopewa na watamfuatilia kuhakikisha anamaliza kifungo chake.

 

Hii inakuja karibu miezi miwili baada ya rais wa zamani kuanza kutumikia kifungo chake cha miezi 15 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuidharau na Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini. Zuma atatumikia kifungo kilichobaki nyumbani na wakfu wake umekaribisha hatua hiyo.

 

Wanajeshi waliingia mtaani kudhibiti vurugu siku chache baada ya kukamatwa kwa rais huyo wa zamani kutokana na maandamano ya vurugu na uporaji uliotokea katika mkoa wa nyumbani kwake wa Kwa-Zulu na Gauteng, kitovu cha uchumi cha Afrika Kusini.

 

Wakati huo huo Zuma anatarajiwa kufika mahakamani Jumatano kwa kuendelea kwa kesi yake ya ufisadi ambapo anatuhumiwa kupokea rushwa inayohusiana na mpango wa silaha ambao ulifanyika mnamo miaka ya 1990.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz