Mwanamuziki Jux Ampongeza Vanessa Mdee “Tushafunika Kurasa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamuziki Jux Ampongeza Vanessa Mdee “Tushafunika Kurasa"





Baada ya Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi kuweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni, mpenzi wake wa zamani Jux awapongeza.
Kupitia wimbo wake mpya ‘Sina Neno’ King Of Hearts amemtakia kheri na kumuombea maisha mema na yenye furaha baada ya kuiona familia ikikuwa.

Moja ya line kutoka kwenye wimbo huo inasema “Tushafunika kurasa mambo ya zamani yalishapita, maisha mengine sasa kuwa na amani hakuna vita, sikuchukii nakuombea maisha mema na ya furaha, Mungu aonyeshe njia”





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz