Maua Sama Ataweza Kupambana na Speed ya 5G ya Nandy na Zuchu? - EDUSPORTSTZ

Latest

Maua Sama Ataweza Kupambana na Speed ya 5G ya Nandy na Zuchu?


Baada ya maua sama kusimama kidogo kwenye Muziki, nandy na zuchu wameibeba mabegani bongo fleva kwa upande wa kina dada, na ukitaja kwasasa wasanii wakubwa wakike Tanzania lazima utamtaja nandy na zuchu.

Siku sio nyingi maua sama ametangaza kuwa anarudi kwenye game mara baada ya kukaa nje ya game kwa muda kadhaa, je unadhani ataiweza Speed ya 5g ya nandy na zuchu? Kipaji na uwezo anao, let's Wait.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz