Breaking News:Mfanyabiashara James Rugemalira Aachiwa Huru - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking News:Mfanyabiashara James Rugemalira Aachiwa HuruMkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amefuta mashtaka yaliyokuwa yanamkabili Mfanyabiashara James Rugemalira na Mahakama kumwachia huru

Juni 2017 TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Seth na Rugemalira wakishtakiwa kwa makosa sita ya Uhujumu Uchumi, likiwamo kosa la kuisababisha Serikali hasara ya takriban Tsh. Bilioni 358

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz