Kumekucha, Maua Sama Amefanya Ngoma na T Pain wa Marekani, Atangaza Kuiachia - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha, Maua Sama Amefanya Ngoma na T Pain wa Marekani, Atangaza Kuiachia


Star Wa Muziki Nchini πŸ‡ΉπŸ‡Ώ @mauasama Adokeza Kolabo Yake Na Rapa Kutokea Nchini Marekani πŸ‡ΊπŸ‡² @tpain

#MauaSama Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kuthibitisha Hilo Akionesha Chats Zake Pamoja na Rapa Huyo, Huku Kionjo Cha Ngoma Yake Mpya Ikisikika

"… And It’s happening soon 🀍🀍🀍 Kesho (FRIDAY) @ 08:30AM muda wetu ni ule uleee! 🌺 x 🐐 x πŸ”‡"


Hivyo Huenda Kesho Nyota Huyu Akaachia Ngoma Hiyo Aliomshirikisha #Tpain

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz