Hakuna Kupoa Harmonize Atangaza Siku Atakayoachia Album yake - EDUSPORTSTZ

Latest

Hakuna Kupoa Harmonize Atangaza Siku Atakayoachia Album yake

Ni headlines za mwanamuziki kutoka TZA Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @harmonize_tz, akiwa nchini Marekani ametangaza mwezi October kuwa mwezi atakao achia Album yake mpya.

Hata hivyo bado haijafahamika ni album gani atakayo iachia huo mwezi, kufuatia Hivi karibuni msanii huyo anae wakilisha mkoa wa mtwara alitangaza kuanza maandalizi ya album yake nyingine aliyoipa jina la #ArizonaTheAlbum ,huku pia akitaja kukamilika kwa album yake ya #Highschool.

Harmonize tayari ana album moja sokoni ya #AfroEast iliyotoka 14 March 2020 ikiwa na jumla ya mikwaju 18.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz