Harmonize Alitoroka Kwenye Nyumba Baada ya Kushindwa Kulipa Kodi - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Harmonize Alitoroka Kwenye Nyumba Baada ya Kushindwa Kulipa Kodi


Akizungumza mzee msiri baba mwenye nyumba wa #harmonize , Nyumba aliyoiachia harmonize tangu mwezi wa tatu.

Akizungumza 👉 Harmonize aliondoka mwezi wa tatu kwa kutoroka usiku na kuharibu vitu kwenye nyumba yangu, Jumla ya deni aliloacha nai mil 150, Pamoja na recharge ya mahakamani.

Licha ya hivyo pia nilimtafuta akanijibu vibaya sana hakunipa heshima
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz