Mrembo @aggybaby_ amefunguka kupitia #globalradio255 Kua Hua anatumia kiasi cha laki tano kwaajili ya chakula tu kwa siku
Mrembo huyo ameongeza kua matumizi hayo huvuka hadi milioni tatu kwa siku pale anapohitaji usafiri na kwenda kupata kinywaji sehemu
@aggybaby_ Ameongeza kua kwa sasa yuko single na kua hakuna mwanaume yoyote anamsaidia fedha kwani yeye pia ana biashara zake zinazompa pesa.
No comments:
Post a Comment