WIZKID apewe, heshimaa yake, Ndio Msanii Bora Africa - EDUSPORTSTZ

Latest

WIZKID apewe, heshimaa yake, Ndio Msanii Bora Africa


 WIZKID apewe, heshimaa yake ,aiseee huyu jamaa siyo mtu wa kawaidaaa🔥..

👉 WIZKID, ndio msanii wa Africa,anaeongelewaa sanaa kwa sasa ,anazidi kupata umaarufu huu,!kutokana na maajabu anayoendelea ,kuyafanya katika MUZIKI..

👉 Album ya WIZKID"made in Lagos,imeshika nafasi ya 47,wiki hii katika Billboard 200.huko marekani.

👉"Made in Lagos delux edition " imepata streamers zaidi ya million 200,katika mtandao wa Spotify..

👉 wimbo wa Essence remix, ambao ni Kati ya WIZKID,Tembaby na Justin Bieber.badoo unaenderea kufanya vizur katika Billboard Hot100..wimbo ulishika nafasi ya47..

👉 Essence ndo wimbo ,kutoka Africa unaosikilizwa sanaa nchini Marekani,kwasasa.

👉"True love" Audio ya WIZKID ,imefikisha watazamaji million 5,kwasiku chache YouTube..

👉Matukio ya WIZKID kuuza tiket kwa muda mfupi,sehemu anazo enda kufanya show, hasa ughaibuni. mfano alimaliza kuuza tiket, kwa dakika2, pia kwa dakika 6..

👉 WIZKID amepata connection mpya ya Justin Bieber, huku tayali akiwa na uhusiano mzuriii na Drake..






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz