Haji Manara na Morrison Hapatoshi, Waendelea Kurushiana Vijembe Huko Instagram - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji Manara na Morrison Hapatoshi, Waendelea Kurushiana Vijembe Huko Instagram


Anaandika @hajismanara)

“ @bm3gh Ningependa kujua umewahi kunisikia mimi nikiongelea kuhusu viongozi wako? Je ni dhambi mimi kuwasifia viongozi wangu mwenyewe? Mara ngapi nimekusifia wewe hata wakati ambao hukustahili? Nimekutukuza (kukusifia) kila mahali hata kwenye matukio yako machafu!!

“Nilikuwa upande wako hata pale ulipokuwa haupo sahihi! Kwanini nisiwasifie viongozi wangu?
Tafadhali usilete ‘ujinga’ wako hapa. Kama huwezi kujihusisha na mpira, unaweza kuja kujiunga upande wetu,” @hajismanara.

Hapa chini nimekuwekea mambo yalipoanzia:


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz