Je, Mbwana Samatta Ameshuka Kiwango?


Mbwana Samatta ametangazwa kujiunga na klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji kwa mkopo akitokea Fenerbahçe S.K ya Uturuki. Safari yake hii imepokelewa kwa tafsiri tofauti.

@oscaroscarjr yeye anaamini kwamba Samatta anashuka lakini kushuka kwake anashuka akiwa amefanikiwa kwenye kile alichokipigania kwa upande mwingine @maestro_ibrahim anasema wakati akiwa Genk alipokea ofa nyingi za vilabu vingine pengine ingekuwa vyema angeanzia huko kabla ya kwenda kwenye ligi ya ushindani mkubwa.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post