Bwana Harusi Avunjika Mgongo Baada ya Marafiki Kumrusha Hewani na Kuhepa Kumdaka - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Bwana Harusi Avunjika Mgongo Baada ya Marafiki Kumrusha Hewani na Kuhepa KumdakaBwana Harusi Avunjika Mgongo Baada ya Marafiki Kumrusha na Kuhepa Kumdaka
Bwana Harusi Avunjika Mgongo Baada ya Marafiki Kumrusha na Kuhepa Kumdaka.Picha:Short News.
Kisa hicho kilitokea katika harusi moja kaunti ya Bihor, Kaskazini Magharibi mwa Romania wiki moja iliyopita.

Kwa mujibu wa The Sun, bwana harusi huyo aliporushwa hewani mara ya kwanza, alidakwa lakini katika jaribio la pili aliangukia kichwa na kumsababishia jeraha mbaya.

TUKO.co.ke imetambua kuwa marafiki hao walimubeba haraka na kumuweka kwenye gari, hatua ambayo madaktari walisema ilifanya mambo kuwa mbaya zaidi.

Video fupi iliyopakiwa kwenye YouTube na Short News inamuonyesha bwana harusi huyo akiangukia kichwa chake katika hali ya kushangaza.


Bwana harusi awazia kuwashtaki marafiki zake
Bijourjust iliripoti kuwa sherehe hiyo ya harusi iliendelea licha ya kisa hicho huku bibi harusi na familia zote zikiwaburudisha wageni.

Daktari wa hospitali ambapo bwana harusi huyo alipelekwa kwa matibabu alizungumzia hali yake akisema:

"Mgonjwa aliumia uti wake wa mgongo. Anaendelea vizuri japo pole pole. Amelazwa katika chumba cha kufanya upasuaji wa kichwa na wiki ijayo atafanyiwa uchunguzi zaidi."


Bwana huyo mwenye umri wa miaka 31, amesema amemfahamisha wakili wake akitaka kuwashtaki marafiki zake kwa kumsababishia jeraha.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz