Joh Makini Awazodoa Mashabiki Wake "Huna Nafasi Katika Maisha Yangu Binafsi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Joh Makini Awazodoa Mashabiki Wake "Huna Nafasi Katika Maisha Yangu Binafsi"Rapa tokea familia ya Weusi na mwenye Hash tag ya kibabe (#chanjoyaamapiano ), @johmakinitz amedai shabiki yake hana nafasi kwenye maisha yake binafsi na hawezi fwata kile shabiki anasema nje ya muziki wake.

Akifunguka kwenye Top 20 ya Clouds Fm hii leo September 26, Joh amedai ukiacha muziki, ana maisha yake binafsi hivyo hawezi amuliwa na shabiki hadi kwenye personal issues kama ambavyo shabiki mwenyewe hatopenda kuingiliwa kwenye mambo yake binafsi. Joh amesema kwenye ishu za muziki yupo tayari kusikiliza ushauri wa shabiki.

Hii imekuja baada ya Joh kutumia ukurasa wake wa Instagram akiachia post (picha ya kushoto) na caption iliyouliza mashabiki kwa muonekano wake mpya wa Nywele apewe Yes au No?


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz