Kati ya Rayvanny na Harmonize YUPI Anapesa Chafu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kati ya Rayvanny na Harmonize YUPI Anapesa ChafuNaona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwa maana ya utajiri?

Kwasababu mwijaku huwa anasema waimbaji Tanzania wenye pesa ni diamond, alikiba, harmonize na jux. Hivi ni kweli hawa ndio wanaongoza kwa utajiri?

Na ukimchunguza mwijaku hao ni watu wake ingawa diamond hamfagiliagi so mnasemaje coz mimi binafsi naona wa kwanza ni mondi na wapili ni rayvan ingawa hapendi showoff coz juzi kati alinunuaga ghorofa tamu kinoma ila kapiga kimyaa, pia juzi kati kafungua mgahawa wake. Mbali na hao kuna nandy pia nasikia yupo vizuri sana.

Pia inasemekana Zuchu kwa sasa ana pesa kuliko huyo mmakonde anaeishi ofisini kwake pamoja na wasanii wake. Baada ya endorsement kuisha harmonize yupo choka mbaya anaungaunga. Naa mpaka juzi kati suala la kutokulipa kodi limemkuta.

Rayvanny ndio msanii mwenye pesa nyingi baada ya Mondi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz