elru87tYGBGEm Aunty Ezekiel Aonesha Dharau Kwa Kusah Ataja Mwanaume Anaempenda - EDUSPORTSTZ

Latest

Aunty Ezekiel Aonesha Dharau Kwa Kusah Ataja Mwanaume Anaempenda
Waja wanadai kauli hii ya @auntyezekiel ni kumshushia heshima mumewe @_kusah_ lakini inaonekana kwa Aunty Ezekiel ni namna alivyoamua kumuwishi mpiga picha @petefarasi9 katika siku yake ya kuzaliwa. Aunty ameandika👇

“NAKUPENDA TUU WW KAKA❤
JAPO MUME WA MTU LAKINI MM APA NAKUPENDA HVYOHVYO......😔😔😔
Mwambie Jaman 😥😥😥”

Au Aunty kuna udambwi udambwi kapewa na Shishi Baby kuhusu wapiga picha?🤪

Tupia maoni yako hapo kuhusiana na meseji ya Aunty kwa Pete kabla ya mfunga kamba za viatu hajaja😁


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz