Afanya Mauaji Akidai Amerogwa Nyumba yake Isimalizike - EDUSPORTSTZ

Latest

Afanya Mauaji Akidai Amerogwa Nyumba yake IsimalizikeSamason Daudi (26) Mkazi wa Kijiji cha Mutuka Wilayani Babati anatuhumiwa kumuua Peter Buu(48) ambaye alimtuhumu kumroga ili nyumba yake isiishe

Tukio hilo limetokea Septemba 5, 2021 ambapo Mtuhumiwa alikwenda shambani kwa marehemu ndipo mzozo ulitokea, akamshambulia mara tatu shingoni kwa panga na kufa palepale

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Grafton Mushi amewataka Wananchi kutafuta suluhu kwa kufikiria njia sahihi na siyo kwenda kwa Waganga wa Kienyeji ambao watawapotosha


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz