Wagonjwa 17 wafariki kwa mafuriko wakiwa hospitali - EDUSPORTSTZ

Latest

Wagonjwa 17 wafariki kwa mafuriko wakiwa hospitali

Takribani wagonjwa 17 wameripotiwa kufariki baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuliko katika hospitali ya mji wa Tula,Mexico.
Baadhi ya wahanga walikuwa hospitali hapo wakipatiwa matibabu ya uviko 19 kwa kutumia mashine ya oxygen, kabla ya kingo za mto kupasuka, maji kusambaa na kusababisha umeme kukatika.

Wagonjwa arobaini ( 40 ) wamefanikiwa kuhamishwa na kikosi cha uokoaji wakati boti iliyokuwa ikimsafirisha Gavana wa Jimbo hilo  Omar Fayad Ilizama ingawa hakupata madhara na hali yake ni salama kama alivyoeleza kupitia mtandao wa twitter huku akisisitiza kwamba mamlaka za serikali zitaendelea kuratibu shughuli za dharura na uokoaji katika maeneo yaliyoathirika.

Naye Rais wa Mexico AndrΓ©s Manuel LΓ³pez Obrador amesema amesikitishwa sana na vifo vilivyotokea hospitali hapo.
amewataka wakaazi wa maeneo yaliyoathirika kuhama makazi hayo au kukaa na jamaa na marafiki katika maeneo salama.

Zaidi ya watu 30,000 katika miji mbalimbali nchini humo wameathiriwa na mafuriko hayo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz