elru87tYGBGEm Kumbe Zile Tetesi Kuwa Vanessa Mdee ni Mjamzito ni za Kweli..Tazama Picha zao Hapa Wakionesha Ujauzito Huo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumbe Zile Tetesi Kuwa Vanessa Mdee ni Mjamzito ni za Kweli..Tazama Picha zao Hapa Wakionesha Ujauzito Huo


Mwimbaji Staa kutoka Tanzania anayeishi Atlanta Marekani Vanessa Mdee leo amepost picha zake ambazo ni Exclusive kutoka Jarida la PEOPLE akionekana ni Mjamzito huku akiziambatanisha na caption mbalimbali.


Kwenye caption ya kwanza Vee Money aliandika “The Greatest gift of all, Thank you Jesus for choosing us, it is a true honor, We are overjoyed”

Vanessa na Rotimi wanategemea kupata Mtoto wao wa kwanza hivi karibuni ambapo caption yake ya pili imesomeka ‘Baby Butta’ na ya tatu ameandika ——— > “Asante Baba Mungu wetu”




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz