Uchaguzi Zambia: Rais Edgar Lungu akubali kushindwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Uchaguzi Zambia: Rais Edgar Lungu akubali kushindwa

Rais wa Zambia wa sasa Edgar Lungu amekubali kushindwa moja kwa moja katika runinga. “Nachukua furasa hii kumpongeza ndugu yangu Hakainde Hichilema kwa kuchaguliwa kuwa rais wa saba wa Zambia”
Bwana Lungu hapo awali alikuwa amedokeza kwamba atapinga matokeo ya uchaguzi baada ya kushutumu upinzani kwa ulaghai.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz