Hamisa Mobetto akataa kujibu swali kuhusu Lulu na Majizzo - EDUSPORTSTZ

Latest

Hamisa Mobetto akataa kujibu swali kuhusu Lulu na Majizzo
Baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kuhusu kutompongeza Elizabeth Michael Lulu baada ya kujifungua hali ya kuwa Lulu huwa anaishi na binti yake lakini pia Majizzo ni baba mtoto wake Halisa aliktaa kabisa kujibu swali hilo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz