Al-Shabab wa Somali wapongeza Taliban kwa kuteka Afghanistan - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Al-Shabab wa Somali wapongeza Taliban kwa kuteka Afghanistan

Vyombo vya habari vinavyojihusisha na kundi la wanamgambo wa Kiislamu lenye makao yake nchini Somalia al-Shabab vimefurahia kuanguka kwa serikali inayotambuliwa kimataifa ya Afghanistan na kupongeza Taliban kwa kuuteka nchi hiyo.
"Mungu ni mkubwa: mji wa Kabul unaangukia kwa majeshi ya Imarati ya Kiislamu", tovuti zinazounga mkono kundi la al-Shabab Calamada na Somali Memo zimeandika katika vichwa vya habari vilivyofanana.

"Sherehe zilianza kote nchini, huku bendera inayoashiria kuabudu Mungu mmoja ikipandishwa katika viwanja vikuu vya Kabul na picha zilizotolewa na Imarati wa Kiislamu zikionyesha mujahideen wakishika doria katika vitongoji vilivyo karibu na Kabul wakati maisha yanarejea katika hali ya kawaida", Calamada.com imeripoti.

Ripoti hiyo imesema kuwa Taliban wameshinda viongozi vibaraka wa "Afghanistan" na "mamia ya maelfu ya wanajeshi wa kigeni" baada ya miaka 20 ya kupigania jihadi.

Al-Shabab ina uhusiano na al-Qaeda na imekuwa ikipiga vita vikosi vya Somali vyenye kuungwa mkono na Umoja wa Afrika tangu katikati ya miaka ya 2000.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz