Kumekucha..Movie ya Slay ya Idriss Sultan Yaingia Top 10 Netflix - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha..Movie ya Slay ya Idriss Sultan Yaingia Top 10 NetflixImechukua miezi mitatu na wiki kadhaa kabla ya kurejea tena kwa filamu ya Slay aliyoshiriki Mtanzania @idrissultan kwenye mtandao wa Netflix.

Filamu hiyo ilitolewa kwenye mtandao huo April 26 kwa sababu za hakimiliki na kufanikiwa kurejeshwa tena August 8. Good news ni kuwa mapokeo yake yamekuwa ni makubwa sana.

Filamu hiyo imeingia kwenye top 10 ya Netflix nchini Nigeria ikishika nafasi ya 5.

Bwana kokoto la Netflix @idrissultan anatuwakilisha vyema😁🙌


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz