Ubingwa Yanga back2back mara 10, Manara amekuja na ubingwa wa Simba mara 6 - EDUSPORTSTZ

Latest

Ubingwa Yanga back2back mara 10, Manara amekuja na ubingwa wa Simba mara 6Hayo ni maneno ya shabiki wa Yanga mbele ya makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwani akieleza kuwa wao kwa sasa hata aje PSG yenye Messi, Neymar na Mpappe kwa Mkapa hawatoki.

Shabiki huyo pia amekitaja kikosi cha Wananchi Yanga kitakachomgaragaza mpinzani wao Simba tarehe 25 kwenye ngao ya jamii


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz