Show ya Burna boy 02 Arena London yaweka alama - EDUSPORTSTZ

Latest

Show ya Burna boy 02 Arena London yaweka alamaMkali wa muziki kutoka nchini Nigeria Burna boy usiku wa kuamkia leo amefanya show ya aina yake katika ukumbi unaosifika sana ambao unaiingiza zaidi ya watu 20000 uliopo katika jiji la London nchini Uingereza.

Burna boy amefanya show hiyo huku akisindikizwa na baadhi ya wakali wengine kutoka nchini Nigeria kama vile Rema, Omah lay na (@ruggerofficialnews)


Katika show yake hiyo ya 02 Arena Burna boy ilifika kipindi akawa anaimba na mashabiki waliofika hapo ukumbini akawa hapati shida ya kupafomu ngoma zake na hii ni kwa sababu nyimbo zake nyingi watu wanazielewa.

Shuhudia mashabiki wanavyoimba naye na hapa ni London sio lagos.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz