Polisi yamdhibiti Aliyefyatua Risasi Maeneo ya Salender Bridge...Apambana Vikali na Polisi - EDUSPORTSTZ

Latest

Polisi yamdhibiti Aliyefyatua Risasi Maeneo ya Salender Bridge...Apambana Vikali na PolisiDar es Salaam. Mtu mmoja ambaye hajafahamika amezua taharuki maeneo ya Daraja la Salenda, Dar es Salaam, baada ya kufyatua hewani risasi huku akisikika kuwa anawatafuta polisi.

Tukio hilo limetokea leo Jumatano Agosti 25, 2021 liliwafanya wananchi waliokuwa jirani na eneo hilo wakiwemo waliokuwa kwenye magari kukimbia kujaribu kuokoa maisha yao.

Hata hivyo, Polisi walifanikiwa kumdhibiti na taarifa ambazo hazijathibitishwa zinadai kuwa, ameuawa kwenye mapambano hayo na polisi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz