Mwakinyo "Siwezi Pigana na Mbeba Matofali, Babu Tale Nitamnunulia V8 Tatu Aache Dharau" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwakinyo "Siwezi Pigana na Mbeba Matofali, Babu Tale Nitamnunulia V8 Tatu Aache Dharau"
“Kama wanaweza, bondia yeyote anayetaka kupigana na mimi Tanzania, wamtengeneze afike nyota nne, yani nijue bingwa anapigana na bingwa, sio bingwa anapigana na mbeba matofali, au bingwa anapigana na mbeba mizigo, hiyo ni kashfa, hizo ni dharau.

 “Yeye anajua umhimu wa branding ni nini, ndio maana kuna wakati akina @babutale Babu Tale hawamuingizi @diamondplatnumz  kwenye vita na wasanii wa chini yake sababu wanaona wanamshusha, kwa nini mimi ananichukulia poa? Sio sawa. I promise nitafika World Champion, na Babu Tale nitamnunulia V8 tatu na sitohitaji chochote kutoka kwake - Bondia Mwakinyo  
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz