Jirani Afunguka "Hamza hakuwa mzungumzaji kwa sana, hana matatizo na mtu yoyote" - EDUSPORTSTZ

Latest

Jirani Afunguka "Hamza hakuwa mzungumzaji kwa sana, hana matatizo na mtu yoyote""Hamza hakuwa mzungumzaji kwa sana, hana matatizo na mtu yoyote nimeshangaa sana kwa lile tukio, ukikaa naye ni mtu wa kawaida sema hana mazungumzo mengi.

"Namfahamu sana tangu makuzi yake ya udogoni ila kuna muda aliondoka na juzi juzi alirudi akawa anapita na pikipiki yake hapa ila tukio hili limenishtua sana." amesema Omary, Jirani yake Hamza, aliyezua taharuki jana.

"Mara ya mwisho kuja hapa kununua chips ilikuwa Jumatatu na alikuja hapa akaagiza chakula akala tukawa tunapiga nae story za kawaida tu hapa." amesema Issa muuza chips Upanga, mahali ambapo Hamza alikuwa anaenda kuchukua chips.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz