Moses Iyobo Atoa Siri "Sikuwa na Mpenda Aunty Ezekiel Nilimtamani tu Nikapita nae" - EDUSPORTSTZ

Latest

Moses Iyobo Atoa Siri "Sikuwa na Mpenda Aunty Ezekiel Nilimtamani tu Nikapita nae"Dancer Wa Diamond Platnumz (@moseiyobo ) Amefunguka kuwa Hakuwahi kumpenda Mama Wa Mtoto wake Ambaye Ni Aunty Ezekiel Ila Alimtamani Tuuu.

"Ukweli sikuwahi Kumpenda Yule mdada Ila Nilikuwa Namtamani Tuuu nikimtazama kwenye Movie Nikaamua Tuuu Nimtongoze Na Yeye Akajaa Basi na Mimi nikapitanae"-Ameongea
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz