Umber Lulu Afurahia Kutumiwa Meseji na Nick Minaj... - EDUSPORTSTZ

Latest

Umber Lulu Afurahia Kutumiwa Meseji na Nick Minaj...Msanii wa bongo Flava @iamamberlulu amedai anampenda sana @nickiminaj na amekuwa akimtumia meseji kwa kipindi kirefu sana bila kujibiwa na mara nyingi amekuwa ni mtu wa kucomment sana kwenye post zake.

Amber katusanua kuwa siku ambayo Nicki Minaj alimDM kwa kuandika “Hi Amber” alitamani hata alie kwa furaha. Amber anaamini ile DM inaweza kuwa msingi wa mahusiano yao na lolote likatokea kuhusu kolabo.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz