Manara "Watu Wote Waliohusika Kufanya Mabadiliko Simba Barbra Anawasingizia Kesi za Kuihujumu Simba" - EDUSPORTSTZ

Latest

Manara "Watu Wote Waliohusika Kufanya Mabadiliko Simba Barbra Anawasingizia Kesi za Kuihujumu Simba"
"Barbra huyu anasema Kashembe anahujumu Simba? Kashembe huyu aliehusika kwenye transformation? Kifupi watu wote muhimu walioapambana transformation ipite leo hii wanaonekana hawana maana, Barbra huyo" Haji Manara

Reposted from @shaffihdauda_ MANARA PRESS CONFERENCE| SERENA, DSM

"Kila anaeondoka Simba tu basi sababu ni kuhujumu, wameondoka zaidi ya watu 12 kwa kosa moja, mara Mbaga, mara Senzo na sasa Haji kaondoka, haya yote yapo chini ya Barbra ndie muhusika wa yote" Haji Manara


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz