Manara "Naomba Serikali Inilinde Nani Amempa MO Mamlaka ya Kudukua Simu yangu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Manara "Naomba Serikali Inilinde Nani Amempa MO Mamlaka ya Kudukua Simu yangu"


“Kwenye hili la kudukuliwa simu yangu naomba serikali inilinde, ni nani amempa mamlaka Mohammed Dewji ya kudukua simu yangu, ubaya sio mimi tuu niliyedukuliwa niliona majina ya wanasimba wengi wanaodukuliwa.

“Waliniita ofisini nikaenda wakaniambia jana ulionekana umeenda kigamboni Kwa Ghalibu kutuhujumu, walinionyesha simu inayoonyesha kuwa nilikuwa Kigamboni lakini nilipoangalia tarehe ilinionyesha ilikuwa tarehe 7 muone jinsi hawa watu walivyokuwa wananichukia,” @hajismanara





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz